Monday, May 25, 2020

VYAKULA 10 BORA VYA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA💞

FAHAMU VYAKULA VINAVYOONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA💞

💞💞Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili.

💞💞Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume.

Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.

Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina mbalimbali ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa kama vinavyoorodheshwa kwenu na Prince Bewisa.

Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

🌶️🌶️🌶️1.  PILIPILI🌶️💪💪

Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho au kamasi hutoka. Ndani ya pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali. Capsaicin huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo huleta mgusu wa hisia za raha wakati wa kufanya tendo la ndoa.

🌶️🌶️Pia pilipili husisimua mfumo wa fahamu (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kuamshwa haraka kimapenzi (kunyegeka) wakati wa tendo la ndoa na pia ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa unapata hisia kila sehemu ya mwili.

❤️❤️2.  MATUNDA NA MBOGA🍀🍀
ZA MAJANI

Ulaji wa matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (cholesterol). Kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu.

❤️❤️Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene (obesity) kwa wanaume kuna matokeo mabaya katika kuzalisha homeni za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na pia mwanaume anakuwa na hisia za mapenzi (libido) kidogo.

❤️❤️Na pia wanandoa wanapozidi kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia au kuwa na hamu ya tendo la ndoa huzidi kupungua. Kitalaam inashauriwa kula milo (potions) 3-5 za matunda kwa siku.

✍️✍️3.  NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA

💪💪Nafaka hasa zisizokobolewa kama mahindi, ngano, uwele, nk zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu (complex sugar) ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili. Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za testosterone kwenye damu. Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu wakati wa tendo.

✍️✍️Kula nafaka nzima kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri linalokuhakikisha afya nejama na mahusiano mazuri ya ndoa yako.

💞💞4.  TANGAWIZI💪💪

Tangawizi ni kiungo cha mboga ambacho husisimua sana na kusaidia mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume hivyo kuwa na umuhimu sana katika kuboresha ufanyaji wa tendo la ndoa. Inaweza kuliwa mbichi, au kuliwa ikiwa imeungwa kwenye chakula au kusagwa na kuwa kama unga na kutumiwa kama chai.

💞💞5.  ASALI❤️❤️

Asali ina madini yanayoitwa boron, ambayo husaidia mwili kutumia homoni ya estrogen ambayo ni homoni inayohusika na viungo ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke.

Pia kuna utafiti unaoonesha kwamba asali huongeza nguvu, kitendo ambacho kitapelekea mwanamke kuwa uwezo na hamu ya tendo la ndoa au libido.

🥜🥜6.  KARANGA🥜🥜

Karanga huhusika katika kuchochea mfumo wa mzunguko wa damu (vascular system). Mzunguko wa damu ulio sawasawa katika uke na uume huwezesha mwanaume na mwanamke kupata msisimko wa mapenzi haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa murua. Pia karanga zina madini muhimu kama vile magnesium, asidi ya folic na zinc ambayo ni muhimu sana katika usalishaji wa mbegu za mwanaume.

7.  CHAZA (OYSTERS) NA PWEZA🐙

Hawa ni aina ya samaki ambao hupatikana katika maji chumvi. Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume.

Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc huwa na matatizo ya nguvu za kiume. Pia madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa kwa wanaume.

🍂🍂8.  SOYA🍀🍀

Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana cha mafuta (fat) na pia kuwa na kiwango kizuri cha protein, soya zina phytoestrogens ambayo husaidia sana wanawake ambao wamefikia menopause kutengeneza homoni estrogen ya ziada.

Husaidia uke kuwa laini (wet, lubricated) mwanamke akisisimuliwa wakati wa tendo la ndoa.

🍩🍩9.  CHOKOLETI🍩🍩

Chocolate ina phenylethylamine , kemikali ambayo husababisha hisia (feelings) za furaha wakati wa mwanamke au mwanaume kufika kileleni (orgasm). Inasaidia sana kula chocolate masaa machache kabla ya kuanza kufanya tendo la ndoa.

🥑🥑10.  PARACHICHI🥑🥑

Aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiana.

💞💞kwa Ushauri na jinsi ya kutengeneza Viagra ya Asili ukiwa nyumbani kwako
✍️ Whatsapp number 0786667889
💞💞OKOA MAHUSIANO YAKO NA
🔴✍️Dr.chilo

VYA

Monday, May 4, 2020

💝NJIA RAHISI ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME ❤️

✍️💔 JINSI GANI UNAWEZA KUIMARISHA NGUVU ZA KIUME pasipo kutumia madawa ya kemikali👌💔
         ⚕️⚕️ MwanaApp ✍️✍️
✍️NGUVU ZA KIUME 💔💔
kama nilivyoeleza hapo awali  ni neno pana sana ila maana yake kwa ufupi, ni ile hali inayomkuta mwanaume katika kipindi cha maisha yake  ambapo hujikuta akiwa na moja kati ya dalili zifuatazo:
🍉Kutoa manii/shahawa kidogo sana, nyepesi na dhaifu kiasi cha kushindwa kumpa ujauzito mwanamke
🍉*Kuwahi sana kufika kileleni ndani ya dakika na kuchelewa kupata hamu ya kurudia tendo, wengine huenda mara moja tu kisha kuchoka na kulala usingizi
🍉*Uume kuwa legelege kiasi unaweza kusimama lakini kitendo cha kuingiza tu ukeni unanywea

✍️CHANZO CHA TATIZO NININI👌


⚕️ magonjwa yoyote yanayoweza kuleta athari katika mzunguko wa damu kama kisukari, kiharusi, uzito kuwa juu au kolestro kuwa nyingi katika damu, haiba isiyo njema inayochangia kudhoofika kwa misuri na damu mfano ulevi wa pombe na mihadarati, ulaji mbovu au lishe duni mfano ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, nafaka zilizokobolewa n.k lakini pia asilimia kubwa ya wahanga wa nguvu za kiume ni kwa wale ndugu waliopitia maisha ya kujichua au bado wanajichua kwani kitendo hiki hudumaza saikolojia juu ya tendo la ndoa [kuzoea kuridhika kwa bao moja] na kudhoofisha misuri ya uume, kuufanya kuwa legevu au kusinyaa kuwa kama wa mtoto.

✔️✔️JINSI YA KUJINASUA♥️♥️

1: DIET YAKO IWE HIVI:
Sio kila mlo ni wa kubugia, vyakula vingine huwa si vizuri haswa vyakula hivi vya kisasa.
Kama mwanaume hakikisha katika milo yako ya siku nzima angalau unapata vyakula vitatu au zaidi katika orodha hii, hata kama ni mara tatu kwa wiki sio mbaya.
Vyakula kama chaza, pweza, tende, mbegu za maboga, asali ya nyuki wadogo, bamia, ndizi mbivu, mbegu za tikiti, pilipili, zabibu, mvinyo mwekundu, tangawizi, chai ya iliki na mdalasini, vitunguu saumu, viazi vyekundu, unga wa habat sawda, udishe au msamitu, ni vyakula ambavyo kazi yake katika mwili ni pamoja na kuchochea uzalishwaji wa homoni za kiume kwa wingi na kuleta mzunguko wa damu katika mishipa, hivyo hukuwezesha uume kujaa damu na kudumu kwa muda mrefu katika mishipa ya uume wakati wa tendo.
✍️KAMA UNAHITAJI FORMULA YA JINSI YAKUTENGENEZA JUICE YA NGUVU ZA KIUME  KWA KUTUMIA MATUNDA NA ASALI 🍉

👌WHATSAPP NO .+22755988626
⚕️⚕️DR.CHILO.✍️ ONLINE CLINIC ♥️

2: ZOEZI LA KEGEL


Hili napenda kuliita zoezi mkombozi wa ndoa kwani kati ya mazoezi yenye ufanisi mkubwa ni zoezi hili kwani mbali na kutumika kukata kitambi, kuondoa maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga, zoezi hili linaimarisha sana msuri unaoshikilia uume pindi unapokuwa umesimama [pelvic floor muscle], na usichokijua ni kwamba linathibiti kwa kiwango kikubwa ukuaji wa tezi dume.
Tenga dakika moja au zaidi kufanya zoezi hili uwe shuhuda wa maarifa haya
 Cha kufanya:
Lala chali, kunja miguu kuelekea kwenye kiuno kisha binua kiuno kuelekea juu kwa sekunde 15 kisha shuka tena binua kiuno kuelekea juu kwa raundi 15 hivi inatosha. [Mimi hulifanya zoezi hili ninapoamka asubuhi na usiku kabla sijalala]
✍️✍️ MwanaApp⚕️⚕️

3: Boresha Mtindo wa maisha [Life Style]


Kuwa makini katika katika kile unachokiingiza mwilini na matendo pia, Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, achana na junk foods, pombe isipokuwa mvinyo mwekundu [kama imani yako inaruhusu kunywa kiasi], achana upigaji punyeto kama bado unafanya hivyo kwa kuuminya au kuusugua u**me husababisha kutanua misuri na kuifanya kuwa legevu zaidi na kunywea kuwa kama wa mtoto

Acha tabia ya kuangalia picha za ngono

Ziishi hizo kanuni utanipa mrejesho mwenyewe

Labda kwa sababu tatizo hili limekuchosha ungehitaji kupata msaada wa haraka sana bila madhara…..
Una machaguo mawili katika hili pia
1: Kujiandalia tiba lishe mwenyewe hapo ulipo
 2:Kuandaliwa

Kama chaguo lako ni namba 1 ngoja nikuelekeze

Tiba hii unayoandaa inafaa kwa wanaume wote bila kuwa na madhara hata kama una kisukari, presha au vidonda vya tumbo HAINA MADHARA hivyo usihofu pia unaweza kunitafuta inbox/simu kama una jambo unahitaji kuelekezwa zaidi.

.👉👉...Hebu tuandae sasa👇

Mahitaji ni Asali mbichi ya nyuki wadogo lita 1. tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], unga wa msamitu vijiko nane, unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

Jinsi Ya Kuandaa:
~Chukua  tangawizi zako na vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
~Weka unga wa msamitu, mdalasini na unga wa habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari
~Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi

Matumizi yake, utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala kwa siku 25-30 tu.

•_____kama una tatizo la uzito mkubwa au unapenda kukata kitambi, hiyo juisi yako ya nguvu za kiume utaitumia kwa kuchukua vijiko vitatu na kuwekakwenye glass ya maji kisha kukamulia kipande cha limau na kunywa.

Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za kukosa nguvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko wa tendo la ndoa.

Kuna wale ambao tumejichua sana kiasi cha kupelekea uume kunywea, kusinyaa na kurudi ndani kuwa kama wa mtoto. Unaweza kutumia mafuta ya zeituni, kila asubuhi ukawa unaunyoosha na kuuvuta uume wako kwa kutumia mafuta hayo, yatakusaidia kuinyanyua misuri iliyodhoofu kwa sababu ya punyeto, chango au ngiri kama uliwahi kuwa nayo.

Mpaka hapo sina la ziada zaidi ya kusubiri maswali yenu, Nguvu za kiume ni pana sana, nitakuwa nikileta tips kila mara kadri tunavyoendelea kuwa pamoja natumai ndani ya siku 30 hapa hapa tutapata mirejesho mingi ya kutosha.

Simu/WhatsApp 0755988626