Tuesday, March 31, 2020

JIKINGE NA CORONA KWA ,A E I O U

*A   E   I   O   U*
*A*- acha kusalimiana kwa mikono🇹🇿

*E*- epuka mikusanyiko hasa isiyo ya lazima🇹🇿

*I*- izuie chafya kwa kitambaa au kwa mkono🇹🇿

*O*- osha mikono yako mara kwa mara kwa sabuni au vitakasa mikono🇹🇿

*U*- uonapo dalili za ugonjwa kwako au kwa mwingine ripoti haraka au wahi kituo cha afya.🇹🇿
   *NILINDENIKULINDE*
💪powered by MwanaApp👇👇 https://play.google.com/store/apps/details?id=mwanaapp.appjbh
 "Tanzania bila korona           inawezekana!"

Wednesday, March 25, 2020

DALILI ZA KUWA NA TEZI DUME HIZI HAPA

👩‍⚕️ZIJUE DALILI ZA TEZI DUME.


Ugonjwa wa tezi tume imeelezwa ya kwamba ni miongoni mwa magonjwa ambayo yanasumbua jamii yetu kwa kiwango kikubwa sana na hata kupelekea kusababisha vifo.

Hata hivyo tafiti mbalimbali zinazidi kuonesha ya kwamba  wanaume ambao wanatumia pombe kali kwa kiwango kikubwa wapo hatarini kupata ugonjwa huo. Licha ya wanywaji wa pombe kali lakini inasadikika ya kwamba wanaume ambao wanafanya kazi za viwandani, husasani viwanda vya rangi au wanaofanya kazi ya kupaka rangi wapo hatarini kupata  ugonjwa huo.

Lakini pia wanaume ambao wapo hatarini kupata ugonjwa huo ni pamoja na wanaume wenye historia ya tatizo hili wenye familia zao, yaani wale ambao mmoja wa ndugu zake (kaka au mdogo wa kiume) au baba kama amewahi ugua ugonjwa huu.

Lakini pia watalamu mbalimbali wa masuala ya afya, wanazidi kueleza ya kwamba wanaume wenye umri wa kati ya miaka 40-70 wapo hatarini kupata ugonjwa huu wa tezi dumi.

Lakini licha ya kuendelea kusambaa kwa kasi kwa ugonjwa huu watalamu wa afya wanaeleza ya kwamba endapo ugonjwa huu wa tezi dume utaweza kutambulika mapema unaweza kutibika.

Dalili za ugonjwa  wa saratani dume.
Katika hatua zake za awali, dalili za saratani ya tezi dum hazitofautiani na zile za kuvimba kwa tezi dume (BPH). Dalili hizo ni pamoja na

👉1.    Kukojoa mkojo uliochanganyika na damu.
👉2.    Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku.
👉3.    Kukojoa mkojo wenye mtiririko mchafu.
👉4.    Kutirirka kwa mkojo baada ya kumaliza kukojoa.
👉5.    Kupata maamuvu wakati unapoanza kukojoa.

✍️UKIONA dalili hizi wahi hospital ili uweze kufanyiwa matibabu,
👇Toa  maoni yako unauelewa gani  ukisikia Tenzi dume.

SABABU ZA UUME KUWA KIBAMIA HIZI HAPA

👌 Sababu 5 za uume Kuwa kibamia.🥒🥒🥒

👩‍⚕️👩‍⚕️ Online clinic 💞💞

Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida...Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo . " Mwanaume utakuwa wewe!" Kidudu chenyewe ukikohoa kinatoka looh na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo....Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wana jamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.
💔💔NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.🥕🥕
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi.

🍉🍉Fanya mazoezi pia kula matunda Kama matikiti maji ,mbegu za maboga na tangawizi zinasaidia kuufanya uume kuwa imara ZAIDI 🥒🥒

HASARA ZA KITAMBI KWENYE TENDO LA NDOA

HASARA ZA KITAMBI KWENYE TENDO LA NDOA NA NJIA ZA KUJITIBU
✍️Dr.chilo⚕️ online clinic 💞

Kitambi na uzito kupita kiasi ni matokeo ya mafuta mengi mwilini na kutokufanya mazoezi ya viungo.
Mafuta mengi mwilini husababishwa na lishe mbovu ambazo hazizingatii taratibu za afya. Ulaji wa vyakula vyenye mafuta kupita kiasi, na Kula Kula hivyo bila mpangilio ni chanzo cha uzito kupita kiasi na vitambi.

★Hasara za kitambi na uzito kupita kiasi.

1. Uume kuwa mdogo. Kitambi hufanya maumbile ya uume kurudi ndani na kuonekana madogo. Hii ni kutokana na mrundikano wa mafuta kwenye tumbo na maeneo mengine ya mwili ambapo Hali hiyo husababisha uume kuvutwa kurudi ndani na kufanya muonekano wake kuwa mdogo, tofauti na wanaume wembamba huonekana kuwa na maumbile makubwa ya uume.

2. Upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu husababishwa na mkusanyiko wa mafuta kwenye mishipa ya damu, ambapo Mafuta hayo huzuia mtiririko wa damu ya kutosha kwenda kwenye Uume, hivyo mtu huyo anashindwa kusimamisha uume wake sawasawa.

3. Shinikizo la damu na magonjwa ya moyo. Hii Pia husababishwa na mkusanyiko wa mafuta kwenye moyo na mishipa ya damu.

⭕★Njia za kupunguza kitambi na uzito kupita kiasi.⭕
⚕️1. Mazoezi ya viungo. Kufanya mazoezi ya viungo husaidia mwili kutengeneza nishati ambayo hufanya kazi ya kuyeyusha mafuta na kujenga afya ya moyo.

⚕️2. Lishe Bora. Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na vilivyokaangwa Kwa mfano chips na kitimoto. Pia epuka matumizi ya pombe hususani bia.
⚕️Kunywa maji ya kutosha kila siku angalau Lita 2½.
⚕️Kula Kwa mpangilio asubuhi, mchana na usiku usile kiwango kikubwa Cha wanga.. Sio Kula Kula hovyo bila mpangilio kama ng'ombe.

✍️✍️Toa maoni wewe unakizungumziaje kitambiii .?

FAIDA ZA TOHARA AU KUTAHIRIWA KIAFYA

✂️FAIDA ZA TOHARA KWA WANAUME


👉Tohara
ni upasuaji mdogo wa kukata na kuondoa govi, yaani ngozi inayofunika ncha ya uume.

FAIDA TOHARA KIAFYA

🔴1. USAFI, Kikawaida Ngozi ya uume( govi) huficha uchafu na pia kuzalisha mafuta meupe meupe yanayojulikana kitaalamu kama smegma ambayo huweka mazingira ya wadududu (bacteria kuzaliana) hivyo kusababisha maginjwa

🔴2.KUPUNGUZA HATARI YA KUPATA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

Mtu anapotahili ngozi ya kichwa cha uume huwa ngumu na kuzuia kupata michubuko kiurahisi tofauti na ya mtu ambaye hajatahili hivyo kupunguza hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa kiasi fulani.

🔴3.KUPUNGUZA HATARI YA KUPATA MAGONJWA ZA ZINAA NA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO

🔴4.KINGA DHIDI YA SARATANI YA UUME(PENIS CANCER)

utafitiu unaonesha kua saratani ya uume inawapata sana watu ambao hawajatahili

🔴5.KUPUNGUZA HATARI YA KUPATA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE

Utafiti pia unaonesha kua mwanamke kujamiiana na mtu ambaye hajatahili inamweka kwenye hatari( Risk )ya kupata saratani ya shingo ya kizazi kutokana na uchafu unaotunzwa kwenye govi kuweza kua na Virusi aina ya Human Papilloma Virus (HPV) ambavyo husababisha saratani ya shingo ya kizazi.
✍️🔴 MwanaApp ♥️ online clinic⚕️

KUKOSA NGUVU ZA KIUME,SABABU NA TIBA

💔💔UKIONA HIVI JUA  UNAPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME🥕🥕

Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume limekuwa janga la kitaifa na kimataifa sio wazee au vijana na wengi wao wamekuwa wakitumia madawa yasio na ubora na kushindwa kulitatua tatizo na kupelekea ndoa nyingi kuzidi kuwa na migogoro au mahusiano kuvunjika
-
-
DALILI ZA MWANAUME ZA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME NA UUME KUWA MDOGO NI HIZI HAPA
1✍️ uume kusimama ukiwa legelege
2✍️ uume kusinyaa na kuwa Kama wa mtoto
3✍️ kufika kileleni haraka wakati wa tendo
 4 ✍️kushindwa kurudia tendo round inayofuata au kuchelewa kurudia tendo
 5 ✍️mda mwingine uume kusinyaa ndani ya uke wakati wa tendo
 6✍️ kutoa manii nyepesi zisizo na nguvu hata utokaji wake sio wa kurukA
 7✍️ uume kuingia ndani nk

😎😎TATIZO HILI HUSABABISHWA NA
 NINI?✍️✍️

📌 NGIRI,KUPIGA PUNYETO,KISUKARI,PRESHA,UNENE KUPITA KIASI,VIDONDA VYA TUMBO,KUKOSA CHOO,TUMBO USONGO WA MAWAZO

Kwa Ushauri  na  jinsi ya kumaliza TATIZO hili  .
WhatsApp no 0755988626

✍️MwanaApp ✍️ online clinic 💡