*A E I O U*
*A*- acha kusalimiana kwa mikono🇹🇿
*E*- epuka mikusanyiko hasa isiyo ya lazima🇹🇿
*I*- izuie chafya kwa kitambaa au kwa mkono🇹🇿
*O*- osha mikono yako mara kwa mara kwa sabuni au vitakasa mikono🇹🇿
*U*- uonapo dalili za ugonjwa kwako au kwa mwingine ripoti haraka au wahi kituo cha afya.🇹🇿
*NILINDENIKULINDE*
💪powered by MwanaApp👇👇 https://play.google.com/store/apps/details?id=mwanaapp.appjbh
"Tanzania bila korona inawezekana!"
No comments:
Post a Comment